Ongeza kipato kwa kuwa Mshirika wa Michongo
Mshirika wa Michongo (Michongo Affiliate) ni program ya kimtando wa kijamii inayowezesha watu mbalimbali kulipwa kulingana na jitihada zao za kushawishi watu wengine kununua bidhaa kwenye Michongo.
Mtu yoyote anaweza kujiunga na ushirika wa michongo. Kipato kitaongezeka pale tu utakaposhea mchongo na kununuliwa kupitia link yako, hivyo hakikisha unajiandikisha kwenye programu hii ili utambulike kwa kampuni kinyume na kufanya hivyo hutotambulika na hutopokea pato lako.
Unatakiwa kufikia angalau kiwango cha chini cha kipato ili kuweza kutoa pesa kwenye akaunti ya Michongo. Kushindwa kufikia, utatozwa 10% na kiasi kilichobaki kuendelea nacho mwezi unaokuja.